Unaulizaje DECI na CCM wapi na wapi na unajua wazi ccm walichukua zile pesa na kuziingiza katika kampeni yao, easy money for them kutoka kwa waliowaota watuhumiwa wa kucheza upatu ambao ni kinyume na sheria....Mkuu DECI na CCM wapi na wapi Mkuu? Btw watu wa DECI pesa zenu zipo Biotii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi NAMAINGO aliishia wapi? Nayo ilikuwa imesajiliwa na walikuwa wanawasajili watu mpka NSSF .Jamaa yupo Kigamboni na hivyo usemavyo ni kweli na watu wengi wamewekeza pia anasema mradi ukiwekeza unakatia na bima kusudi kujikinga na hasara,wajumbe tusubiri walau walioanza watupe feedback...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Kitu tulishawahi kuonya...Kwa 'idea' ya Mr. Kuku ilivyo ni kama kitu kinachoitwa 'Crowdfunding'.. yaani anatokea mtu anakuja na 'idea' yake ya biashara halafu wanatafuta watu wengi(wawekezaji) ambao watatoa fedha ili kuiwezesha hiyo biashara na kunakuwa na 'platform' ya kuwaunganisha ambayo ni biashara ya kuku.
Ukishawekeza fedha zako na wao(Mr. Kuku) wataanza kufuga kuku na kuuza na wateja wakubwa wanakuwa hao hao waliowekeza pamoja na wengine. Kwa hiyo ijapokuwa umewekeza fedha lakini unalazimika kununua kuku, nyama ya kuku, mayai,vifaranga ili kuharakisha faida. Ina maana ikipatikana faida mtagawana lakini ikitokea hasara mtagawana pia.
Kwa nchi zilizoendelea inaaminika sana.
Hapa Tanzania ina changamoto sana hasa kwa wawekezaji kwani:
Kwa hiyo miradi kama hii ni rahisi sana kugeuka na kutumika kama vichochoro vya kutakatisha fedha au 'Ponzi Schemes' kama Serikali haitaingilia kwa kuweka kanuni zinazoeleweka ikiwemo kuweka sehemu ya fedha za uwekezaji kama dhamana Benki Kuu.
- Hupewi vitabu vya fedha('Income stat. & balance sheet') kujiridhisha kama faida inapatikana.
- Gharama ya uhakikisho ni kubwa('Due diligence costs').
- Gharama ya ufuatiliaji wa mradi('monitoring') siku kwa siku ni kubwa kwa mwekezaji.
- Taarifa zinazotolewa ni za kuvutia na za upande mmoja('information assymetry').
Achana na taarifa Za umbea mitandaoni fuata hizi link
Youtube
Achana na taarifa Za umbea mitandaoni fuata hizi link
Youtube
Labda ndiyo huyu nini?
Naona ulitabiri yametimia hii ndo raha ya jamii forum.Kupata information ni ww kuchanganya na za kwako kuona lipi linafaaWatu bana, yaani jambo linaonekana tu kwa macho ya kawaida kua hii ni Ponzi Scheme au Pyramid Scheme mtu bado unajiuliza maswali mara mbili mbili?
Hao wenye hiyo kuku farm kwa nini wasiuze kila walichonacho na wawashawishi ndugu zao wauze kila walichonacho wawekeze kwenye hiyo project wapige hela wawe familia tajiri zaidi? Au unadhani hao jamaa wa kuku farm wanawapenda sana kuliko wanavyowapenda ndugu zao? Kwamba waone fursa wasiwaambie ndugu zao waje kuwambia nyie? Uliwahi kuona wapi?
Kila siku humu tunatahadharisha kua ukiona unaitwa kwenye deal ujue wewe ndie deal, ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndie fursa. Wazungu husema when the deal is too good think twice. Hakuna hela inapatikana kwa haraka hivyo.
Ilikuja D9, Deci, Qnet, One coin, sijui vitu gani watu wanapigwa kila siku lakini hawajifunzi.
Hao wa kuku farm wape muda mfupi utaona mada zao humu, ni jambo la muda tu.
Ni kweli mkuu watanzania wana mentality ya hisia za utapeli panapotokea fursa!! Kama hii Mr Kuku watu wanahisi ni utapeli wakati wanaruhusu kabisa uende na mwanasheria.Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???
Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.
Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???
Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani tatizo ni la kisheria. Tatizo ni financial zaidi.Ni kweli mkuu watanzania wana mentality ya hisia za utapeli panapotokea fursa!! Kama hii Mr Kuku watu wanahisi ni utapeli wakati wanaruhusu kabisa uende na mwanasheria.
Kauli Ya Mwalimu NyerereWaoni
Wao ni wauzaji, wafugaji na wanunuzi wa kuku. Halafu wanakuambia wewe utajirike bila kufuga. Hivi hayo yanaingia akilini kweli? Mtu una almasi yako, halafu anakuja jamaa anakwambia hiyo si almasi ni vipande vya chupa. Na kwamba yeye ndo ana almasi na anachukua almasi yako na kukupa vipande vya chupa. Na wewe kama zuzu unaondoka ukichekelea kupata hiyo almasi bandia. Tahadhari kabla ya hatari! Tamaa ya kupata utajiri wa haraka imewaponza wengi.
Watu bana, yaani jambo linaonekana tu kwa macho ya kawaida kua hii ni Ponzi Scheme au Pyramid Scheme mtu bado unajiuliza maswali mara mbili mbili?
Hao wenye hiyo kuku farm kwa nini wasiuze kila walichonacho na wawashawishi ndugu zao wauze kila walichonacho wawekeze kwenye hiyo project wapige hela wawe familia tajiri zaidi? Au unadhani hao jamaa wa kuku farm wanawapenda sana kuliko wanavyowapenda ndugu zao? Kwamba waone fursa wasiwaambie ndugu zao waje kuwambia nyie? Uliwahi kuona wapi?
Kila siku humu tunatahadharisha kua ukiona unaitwa kwenye deal ujue wewe ndie deal, ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndie fursa. Wazungu husema when the deal is too good think twice. Hakuna hela inapatikana kwa haraka hivyo.
Ilikuja D9, Deci, Qnet, One coin, sijui vitu gani watu wanapigwa kila siku lakini hawajifunzi.
Hao wa kuku farm wape muda mfupi utaona mada zao humu, ni jambo la muda tu.
Ndiyo Ukweli Wenyeweyametimia kaka[emoji419]
Ndiyo Ukweli Wenyewe
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji28][emoji16][emoji3][emoji2][emoji2][emoji1]
Muda ni mwalimu mzuri hapa
So katika hizo bilioni 5.4 za DPP ana chake?Mimi mama yangu anaogopa maji balaa.hata kupanda meli hawezi.ila nilishangaa kusikia alipanda pantoni akaenda kigamboni kwenye mradi huo wa kuku bila kufuga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni tu
Sent using Jamii Forums mobile app