Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

Kwenye kuiba hakuna u-genious bali kuna roho ngumu, roho ya ubinafsi na roho mbaya. Ni watu wengi wenye uwezo wa kubuni njia kali za upigaji fedha lakini hawataki kwani roho zao zinawasuta. Hawataki dhuluma.
 
Nothing comes our of nothing. Tahadhari kabla ya hatari!
 
Kwenye kuiba hakuna u-genious bali kuna roho ngumu, roho ya ubinafsi na roho mbaya. Ni watu wengi wenye uwezo wa kubuni njia kali za upigaji fedha lakini hawataki kwani roho zao zinawasuta. Hawataki dhuluma.

Wewe hakuna kitu kigumu kama kutapeli watu sio kila mtu ana akili hio. Wewe unadhani mpaka kuisimamisha io mr kuku mpaka hapo ni mchezo jamaa ni noma kubali ukatae kuwapanga mamilioni ya watanzania wakuamini wakupe pesa zao sio mchezo hio ni level nyingine ya ugenious. Izo roho ngumu sijui ubinafsi ni additional tu qualities ila ya kwanza lazima jamaa ana uwezo mkubwa sana wa kufikiria.
Mwingine ni sir jeff aka ONTARIO, hawa vijana wadogo niseme tu ukweli uwezo wao wa kutafta pesa kupitia wabongo mambulula naukubali sana its another level


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakataa kuwa ni wa wajanja sana. Hata ukiona actions zao na knowledge yao ya mambo yanayoendelea duniani ni kubwa sana. Ila nilichosisitiza ni kuwa kuna watu wengine wana huu ujuzi lakini wanasita kufanya hivyo kwa sababu ya roho kuwasuta. Otherwise nakubaliana na wewe kabisa kuwa jamaa wanajua ku-act kulingana na mazingira waliyopo na wanajua mambo mengi yanayoendelea duniani.
 
Hawa Lakini Huwa Wanawapiga Sana Hawa Watu Wenye Pesa Za Kawaida Wanaoamini Kuwa Mafanikio Ya Haraka Sasa Yamefika
 
Ntafanya juu chini siku moja mje kunizungumzia kama ONTARIO wabongo wengi wanapenda utajiri wa fasta. Lazma nibuni mradi!
 
Ntafanya juu chini siku moja mje kunizungumzia kama ONTARIO wabongo wengi wanapenda utajiri wa fasta. Lazma nibuni mradi!
HaaπŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜
Utakuwa Kwenye Font Feji Za Jamiiforums.com
 
HaaπŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜
Utakuwa Kwenye Font Feji Za Jamiiforums.com
Mapema sana 🀣🀣🀣 utasikia cc: Extrovert
 
Itakuwa Ni Thread Zako Tu Mchana Kutwa Kwa Muda Wa Mwezi
Maji Hayanyweki, Ukipiga Chafya Unakimbiwa πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Utaskia, jamaa tunamjua maarufu sana humu jeiefu
 
Waoni
Wao ni wauzaji, wafugaji na wanunuzi wa kuku. Halafu wanakuambia wewe utajirike bila kufuga. Hivi hayo yanaingia akilini kweli? Mtu una almasi yako, halafu anakuja jamaa anakwambia hiyo si almasi ni vipande vya chupa. Na kwamba yeye ndo ana almasi na anachukua almasi yako na kukupa vipande vya chupa. Na wewe kama zuzu unaondoka ukichekelea kupata hiyo almasi bandia. Tahadhari kabla ya hatari! Tamaa ya kupata utajiri wa haraka imewaponza wengi.
 
HaaπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
Wao Wanawatajirisha Masikini
Yaani Haya Mambo Wakati Mwingine Yamejaa Ukakasi Mno
 
Kenge hasikii hadi masikio yatoke damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umekuja mwenyewe.
Ujibu maseali utakayokuwa unaulizwa hapa.
Haa
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ™„
Maswali Hawezi Kuyajibu Kuna Wanaomjua Vema
 
Ukisoma kwenye mtandao kama hivi inaonekana ni rahisi sana ...sasa wekeza uone wanavyotokwa na makamasi namajasho muda wa kugawana faida ukifika......naomba namba zao ili nikawatembelee na kusikiliza fix zao labda nitajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…