Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Ford Mustang nyekundu inaendaje bei Mkuu Isanga family?Daah gari zenyewe ni hizi hapa...
Hizo zilizokuwa bolded taja model na mwaka upewe bei.wadau naomba tujuzane bei ya hizi gari nnchini afrika kusini. lengo nikujua kama ziko chini kuleko kwetu tanzania au la.
1.ford ranger
2.mercedes benz
3.toyota hilax
na jee ni njia ipi rahisi ya kusafirisha mpaka tanzania. kwani nasikia kuna boda nyingi
Hiyo Cruiser Pick up double cabin nyekundu bei yake South Africa na Kodi TRA inaweza ikagharimu kiasi gani?Daah gari zenyewe ni hizi hapa...
Hiyo ipo Tanzania mpaka niangalie makaratasi yote hapo mkuu mimi na deal sana na hizo Cruiser iwe single au double au LX...Hiyo Cruiser Pick up double cabin nyekundu bei yake South Africa na Kodi TRA inaweza ikagharimu kiasi gani?
Nitarudi tenaHiyo ipo Tanzania mpaka niangalie makaratasi yote hapo mkuu mimi na deal sana na hizo Cruiser iwe single au double au LX...
✅🙏🙏🙏Interpol hawasafiri kilichopo ni kuwa wapo polisi Tanzania na Nchi zote za SADC wameungana kuhusu uhalifu wa hizi Nchi sisi wengine tumeanza kununua 504 mwaka 2002 mpaka leo tupo na Ford Raptor ni wauzaji huku SA na Tanzania siwezi kupata taarifa kutoka kwako SA vitu ni vingi tuu bei za kawaida sio magari tuu yapo maduka kila siku ni sell sell Tanzania kwa sababu tunaamini katika umasikini tunakatishana tamaa sana hata kwa vitu vidogo gari sio ishu ya kujadili kwa wasafiri labda aina ya Gari..
Mkuu Gari SA hasa pick up hazina bei sana maana wao wanauza kutokana na Mwaka(model)ikiwa ya muda kidogo bei inapungua sokoni tofauti na Nchi zingine wao wanaangalia demand kwenye soko...Hello! Isanga Family tunaomba uendelee kutupa madini juu ya hizi pick ups kwa huko south.
Usithubutu, jamaa anacheza na upepo wa malimbukeni wa magari wa kibongo.Vp madungu ya MR lukosi
Mkuu Gari SA hasa pick up hazina bei sana maana wao wanauza kutokana na Mwaka(model)ikiwa ya muda kidogo bei inapungua sokoni tofauti na Nchi zingine wao wanaangalia demand kwenye soko...
Nissan hard body NP 300...
Tata Ford Ranger 2008 mpaka 2012
Toyota hilux mwaka 2006 mpaka 2010
Hizi gari ni ngumu sana na pia bei yake SA sio kubwa unaweza kuzipata kwa rand 80,000 mpaka 120,000 kupata Tsh zidisha na Tsh 150 kwa rand 1...Nissan hard body chini ya 2009 kuja 2006 unaweza kuzipata kwa rand hata 60,000 wewe ni kufanya service ndogo na kuanza safari mara nyingi utakuta gari ina tairi nzuri maana bei ya Tairi sio kubwa SA..
Mkuu nna interest na bmw x3 series ya 2014 hadi 2016 hapo. Bei zinaendaje? Makampuni gani yanayouza magari hayo yapo reliable huko. Nataka nijipange mwaka huu nijeMkuu Gari SA hasa pick up hazina bei sana maana wao wanauza kutokana na Mwaka(model)ikiwa ya muda kidogo bei inapungua sokoni tofauti na Nchi zingine wao wanaangalia demand kwenye soko...
Nissan hard body NP 300...
Tata Ford Ranger 2008 mpaka 2012
Toyota hilux mwaka 2006 mpaka 2010
Hizi gari ni ngumu sana na pia bei yake SA sio kubwa unaweza kuzipata kwa rand 80,000 mpaka 120,000 kupata Tsh zidisha na Tsh 150 kwa rand 1...Nissan hard body chini ya 2009 kuja 2006 unaweza kuzipata kwa rand hata 60,000 wewe ni kufanya service ndogo na kuanza safari mara nyingi utakuta gari ina tairi nzuri maana bei ya Tairi sio kubwa SA..
OK tafuta Toyota pick up double cabin ya kuanzia 2010 d4d diesel itakusaidia...Nashukuru bro tutawasiliana
Majukum yangu ya kazi pick up ni lazima niwe nataka nisiwe nataka ni lazima.
OK mkuu zipo ukiwa tayari tuwasiliane tu..Mkuu nna interest na bmw x3 series ya 2014 hadi 2016 hapo. Bei zinaendaje? Makampuni gani yanayouza magari hayo yapo reliable huko. Nataka nijipange mwaka huu nije
OK tafuta Toyota pick up double cabin ya kuanzia 2010 d4d diesel itakusaidia...
Nissan NP 300 ni nzuri na dume kweli sema kwenye kununua Nozel ndio itakua gharama pindi ukitaka kubadili na Pump yake ila ukiipata ya miaka ya karibuni mpaka ije isumbue sio leo..Nissan NP 300 ni gari ngumu pia..
Nitachukua tu kampuni ya Toyota pia tutawasiliana zaidi unichukulie hyo gari nikiwa tayari.