Wadau naomba mnishauri kuhusu jambo hili

Wadau naomba mnishauri kuhusu jambo hili

Nina rafiki yangu ni wa jinsi ya kike, yeye mara nyingi huwa tunakutana kwenye kazi Kwa kuwa tupo na kazi zinafanana, Kwa kifupi huwa tuna bahati ya kukutana.

Leo katika harakati za hapa na pale nimekutana naye tena, kaolewa ila ni black beauty flani hivi, sijawahi fikiria kuhusu kumla mbususu ila nilivyomtext leo kaniambia nahisi kuna jambo unataka kuniambia niambie hicho kitu.

Kweli nilikuwa nawaza kumtongoza ila nilikuwa natafakari kuhusu hilo. Sasa nifanyeje?
sasa unataka kujua ufanyeje,jitie kidole kwenye tigo yako utapata akili ya kujua ufanyeje
 
Back
Top Bottom