Wadau naomba msaada juu ya suala hili.

Wadau naomba msaada juu ya suala hili.

Van persie

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,099
Reaction score
720
Mimi nataka kujiunga na chuo mwaka huu na tayari nimeshachukuwa application form.Tatizo langu ni pale ambapo majina ya vyeti vyangu vya O'level na A'level ni tofauti na majina yaliyo kwenye pasipoti yangu,kwa hiyo nililazimika kutafuta affidavit.

Hila shida ni kwenye application form,ambapo kwenye kujaza majina nashindwa kujua ni jaze majina ya kwenye vyeti au yale yaliyo kwenye pasipoti(ambayo ni halali).Naombeni msaada ni kwa jinsi gani naweza kutatuka kutoka kwenye huu mkwamo.
 
chuo kitakupokea kwa majina yaliyopo kwenye cheti tu labda kama una deed poll
 
Back
Top Bottom