Wadau naomba msaada kuhusu DHL kwa wale wanaofanya manunuzi Amazon

Wadau naomba msaada kuhusu DHL kwa wale wanaofanya manunuzi Amazon

KING FLIESN

Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Mara nyingi nafuatilia kuhusu post zenu namna ya kufanya manunuzi mtandaoni.....nashukuru nimepata ufahamu lakini kuna jambo linanitatiza kuhudu dhl,,,,swali..napofanya manunuzi mfano amazoni kwa zile bidhaa zilizoandikwa prime natumiwa automatic maana hakuna chart ya kumuuliza option ya kutuma na naambiwa zile zenye prime amna longolongo lakini pia kuna bidhaa zingine azina prime kwa maana pia amazon huwa hana hizo je nifanyeje kuzipata mpaka huku kwetu ?
swali la mwisho...amazon,ebay,bestbuy,alibaba unapofanya malipo kuna sehemu ya kuchagua dhl,my us.com,stackry ,fex..nk ?.........zile bidhaa zilizoandikwa free shiping it mean kule na hapa zinapowasili zipaswi kulipia ? Hii ikoje naomba msaada wenu wadau
 
Mkuu kwa Sisi tunaoishi uswazi - no street address, no house number, no code area, nahisi ngumu kama si kusema haliwezekani. Labda kuna mbinu mbadala!
 
Kwa site za ebay na alibaba ambako ndio huwa nafanya manunuzi mara kadhaa..option ya kusafirisha anakuwa nayo seller yeye ndie anaesema atasafirisha kupitia DHL, Fedex,Aramex, USPS etc au anaweza kukupa gharama kwa kila kampuni then wewe utaona inayokufaa
Kuhusu adress sio issue, ukitumiwa na DHL mzigo ukifika wanakupigia simu for local pick up au unawaeleza ulipo wanakuletea..fedex unaenda kuchukua ofisini kwao after kupigiwa simu japo mzimzigo unakua unajua kuwa umeshafika coz unautrack online wewe mwenyewe
Kuhusu free shipping zile huwa zinatumwa na njia ya posta ya kawaida tu..mara nyingi ni vitu vidogo vinavyoweza kuwekwa kwenye bahasha au kiboksi kidogo, ushuru ni game of lucky, but mi device nazotumiwa kwa posta kawaida sijawah kulipia ushuru
 
Uvivu wa kusoma ndio unaosababisha viongozi wetu kusaini mikataba ya kipuuzi, swali lako unalouliza hapa ungekuwa sio mvivu kusoma ungegundua kuwa hii maada imejadiliwa vizuri sana na ipo kwenye sticky.
 
Back
Top Bottom