KING FLIESN
Member
- Nov 25, 2014
- 8
- 0
Mara nyingi nafuatilia kuhusu post zenu namna ya kufanya manunuzi mtandaoni.....nashukuru nimepata ufahamu lakini kuna jambo linanitatiza kuhudu dhl,,,,swali..napofanya manunuzi mfano amazoni kwa zile bidhaa zilizoandikwa prime natumiwa automatic maana hakuna chart ya kumuuliza option ya kutuma na naambiwa zile zenye prime amna longolongo lakini pia kuna bidhaa zingine azina prime kwa maana pia amazon huwa hana hizo je nifanyeje kuzipata mpaka huku kwetu ?
swali la mwisho...amazon,ebay,bestbuy,alibaba unapofanya malipo kuna sehemu ya kuchagua dhl,my us.com,stackry ,fex..nk ?.........zile bidhaa zilizoandikwa free shiping it mean kule na hapa zinapowasili zipaswi kulipia ? Hii ikoje naomba msaada wenu wadau