Mimi nimemaliza chuo mwaka 2007 Advanced diploma in IT.Katika kipindi chote mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya proffessional yangu.nimejikuta nafanya part time job.Imefikia kipindi nimeanza kusahau hata nilivyosomea.naomba msaada wenu kama naweza kupata walau sehemu ya kujikumbushia computer. kwani hata nikiitwa kwenye interview nahisi naweza feli kwenye maswali ya technical
mwenye msaada unaweza tumia annieba@yahoo.com[
area of interest ni system analyst pia website design.
Nimejifunza website design kwa kutumia adobe,front page,na dreamweaver
system analysisi and design
mysql
php kidogo
installation na troubleshooting na application za kawaida