Mimi nimemaliza chuo mwaka 2007 Advanced diploma in IT.Katika kipindi chote mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya proffessional yangu.nimejikuta nafanya part time job.Imefikia kipindi nimeanza kusahau hata nilivyosomea.naomba msaada wenu kama naweza kupata walau sehemu ya kujikumbushia computer. kwani hata nikiitwa kwenye interview nahisi naweza feli kwenye maswali ya technical
mwenye msaada unaweza tumia annieba@yahoo.com
mwenye msaada unaweza tumia annieba@yahoo.com