Huo ni uwongo kila gari ikichoka huwezi kuiuza si tunaona hata oppa zinavyowatesa , gari matunzo tuache kukaririLabda skrepa, ikiwa bado mpya utaiuza ila ikishachoka inachoka kila kitu bodi, engine na tairi zinaweka tege hata aibu kumuuzia mtu kwa ajili ya matumizi
Kwa maoni yako ungemshauri achukue gari gani SUV?Mazda sio gari nzuri, kuanzia kwenye engine yake imekaa ki luxury haiwezi kupambana na mazingira magumu, Body yake nyepesi kuchakaa na kubonyea.
Kuhusu vipuri utapata tabu wauzaji wengi wa spare wanaweka spare za magari yaliyomengi barabarani mfano Toyota so kuwa makini ila nenda kaichunguze vizuri haya ni maoni tu.
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Haina
Ndugu moja na ford escape,, wanashea hata vipuri