NYUMBANITU
Member
- Nov 21, 2016
- 15
- 12
Habari wana jamii forum, leo najitokeza kwanu wadau ili mweze kunisaidia tatizo nilonalo.
Tatizo hili nimehangaika nalo mpaka nimekwama, so najua humu naweza pata mtu aliewahi kua na tatizo kama langu na pengine akapata suluhisho akaweza nisaidia njia ipi alitumia.
mimi ni miaka 29 sasa hv na ninatatizo kubwa sana la upungufu wa nguvu za kiume, yaan ninaposema ninatatizo wadau mnielewe kua ninashida kwelikweli.
Mimi uwezo wangu wa kusimamisha ni mdogo sana yaan hata unaweza kua na mwanamke ukawa unamchezea na possible mashine isisimame kabisa au kama itasimama basi ni kwa ulegelege sana yaani haikakamai au kua STIFF.
Na kama inatokea nikataka kufanya tendo basi haizizi dakika hata mbili nishakojoa na hapo sasa kuja kusimama tena ni shuhuli inaweza ikachukua mda sana, au isisimame kabisa. nimejaribu kula sana mitishamba ya kutosha lakini wapi, kuna cku nilienda hospitali but docta akanihoji tu hakunipima basi akaniandika dawa nikanunue inaitwa "weed goat and yohimbe " kama cjakosea ilikua doz ya mwezi mmoja but ckuona hata dalili za mabadiliko.
Hadi sasa nimegail kabisa hata kutongoza mana, kuna wadada kama watatu tofauti washanikimbia coz wanakua hawanielewi kabisa, anakuja home hafu anaishia kuchezewa tu. wamekua hawanielewi kwa kweli japo nimekua nikificha asijue sababu.
But kiukweli mimi mwenyewe naumia sana cna jinsi na umri unasogea hata mustakabali wa kuoa naona giza tu.
Naomba kwa dhati kabisa km kuna mwenye ufumbuzi wa tatizo langu au kuna mtu aliwah pata tatzo hili pliz naomba mnisaidie mlitatua vip na km ni hospital ni hospital gani na hata jina la dactari km inawezekana. au km ni dactari ni mwanajamii basi nitashukuru kupata maelezo ya suluhisho. kiukweli sina raha kabisa na naisha haya.
kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuwasilisha kwenu wadau.