wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

wadau naomba ushauri wa suluhisho la upungufu wa nguvu za kiume.

Mimi sikuwahi kiwa na shida ya nguvu za kiume. Wiki iliyopita mke wangu alisafiri kwa muda wa wiki nzima. Baada ya yeye kusafiri siku ile ile nikaanzisha utaratibu wa kila siku jioni kufanya zoezi la kukimbia umbali mrefu. Amerudi jana nimeshindwa ku perform kabisa! Yani nimetumia muda mwingi kumuandaa lkn muda wote huo gegedo langu lilikua limenywea na hata liliposimama halikukakamaa vzr kiasi sikuweza kuingiza. Je, shida ni nini hasa? Ni mwili umechoka na lile zoezi au ni nini?
 
Back
Top Bottom