njoo tunywe bia tupunguze stress mkuuHabari !!, natumaini wote ni wazima wa afya bila kupotea mda acha niende kweye mada moja kwa moja!.
Wadau nilikuwa naomba ushauri wenu ,mm natarajia kumalizia chuo miezi ya hivi karibuni ,nimejaribu kujiwekea akiba nimefikisha kama kiasi cha mil. 1,000,000
ila mpaka sasa sijui biashara IPI nifanye kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa maana me bado sina uzoefu kwenye biashara.
Naombeni mawazo yenu namini wote ni watafutaji, Leo kwangu kesho kwako"#
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo tunywe bia tupunguze stress mkuu
Asante mku kwa maoni yakoUshauri wangu wa kwanza, kuna nyuzi nyingi sana humu ndani, nyingi mno zinazohusu watu kua na mitaji (kama wewe) na kukosa biashara ya kufanya hebu fanya hivi..
Ipitie kwanza uangalie ni kipi / ni wazo lipi litakufaa draw a small list of five or more of the things you want to engage in. Then come here to seek more advice and deep research!
Wish you all the best!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa tu hayo madini iwe faida kwa wote Sharing is caringNafahamu una mawazo kadhaa ya biashara lakini unaogopa hasara kwa kuwa ndio unaanza,zipo biashara pia ambazo naweza kwambia ufanye lakini uaminifu miongoni mwetu upo?
Do the thing you fear to do and keep on doing it... that is the quickest and surest way ever yet discovered to conquer fear.
Take a chance! All life is a chance.The man who goes farthest is generally the one who is willing to do and dare.
The successful man will profit from his mistakes and try again in a different way.
Hiyo million ni kubwa sana,una weza anza na 400,000 ukaizungusha zaidi na zaidi vile unatengeneza brand na uaminifu kwa wateja wako ndio utaongeza taratibu mtaji wako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimemaliza mwaka Jana kama wewe tu ila nilikua na target flani ya biashara nimekuja mtaani nikafungua salon ya kiume fundi mwenywe cha msingi jifunze kwnza ufanye kazi mwenyewe usimpe mtu nimejionea tena usijaribuHabari !!, natumaini wote ni wazima wa afya bila kupotea mda acha niende kweye mada moja kwa moja!.
Wadau nilikuwa naomba ushauri wenu ,mm natarajia kumalizia chuo miezi ya hivi karibuni ,nimejaribu kujiwekea akiba nimefikisha kama kiasi cha mil. 1,000,000
ila mpaka sasa sijui biashara IPI nifanye kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa maana me bado sina uzoefu kwenye biashara.
Naombeni mawazo yenu namini wote ni watafutaji, Leo kwangu kesho kwako"#
Sent using Jamii Forums mobile app
aah kumbe fundi mwenyewe | je sisi tusiojua kunyoa.Mimi nimemaliza mwaka Jana kama wewe tu ila nilikua na target flani ya biashara nimekuja mtaani nikafungua salon ya kiume fundi mwenywe cha msingi jifunze kwnza ufanye kazi mwenyewe usimpe mtu nimejionea tena usijaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nilijifunza mwanzoni nilipitia changamoto kukosa wateja kisa sijui kunyoa kwa ubora lakini ujunja ujunja ukanizidisha maarifa
mmh interested | kumbe ulijifunza ushafungua office before ulikuwa hujui hata kidogo, nipe ujanja mzee maana na mimi plan yangu kufungua saloon ila izo story nazosikia ukimuweka mtu azipendezi kamwe.Mkuu mimi nilijifunza mwanzoni nilipitia changamoto kukosa wateja kisa sijui kunyoa kwa ubora lakini ujunja ujunja ukanizidisha maarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimueka mtu utalia mkuu jifunze kaa mwenyewe utakula pesa za kutoshammh interested | kumbe ulijifunza ushafungua office before ulikuwa hujui hata kidogo, nipe ujanja mzee maana na mimi plan yangu kufungua saloon ila izo story nazosikia ukimuweka mtu azipendezi kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app