Wadau naombeni mawazo yenu

Wadau naombeni mawazo yenu

punditt

Senior Member
Joined
Feb 19, 2019
Posts
112
Reaction score
50
Habari !!, natumaini wote ni wazima wa afya bila kupotea mda acha niende kweye mada moja kwa moja!.

Wadau nilikuwa naomba ushauri wenu ,mm natarajia kumalizia chuo miezi ya hivi karibuni ,nimejaribu kujiwekea akiba nimefikisha kama kiasi cha mil. 1,000,000

ila mpaka sasa sijui biashara IPI nifanye kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa maana me bado sina uzoefu kwenye biashara.

Naombeni mawazo yenu namini wote ni watafutaji, Leo kwangu kesho kwako"#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njoo tunywe bia tupunguze stress mkuu
 
Nafahamu una mawazo kadhaa ya biashara lakini unaogopa hasara kwa kuwa ndio unaanza,zipo biashara pia ambazo naweza kwambia ufanye lakini uaminifu miongoni mwetu upo?

Do the thing you fear to do and keep on doing it... that is the quickest and surest way ever yet discovered to conquer fear.

Take a chance! All life is a chance.The man who goes farthest is generally the one who is willing to do and dare.

The successful man will profit from his mistakes and try again in a different way.

Hiyo million ni kubwa sana,una weza anza na 400,000 ukaizungusha zaidi na zaidi vile unatengeneza brand na uaminifu kwa wateja wako ndio utaongeza taratibu mtaji wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu wa kwanza, kuna nyuzi nyingi sana humu ndani, nyingi mno zinazohusu watu kua na mitaji (kama wewe) na kukosa biashara ya kufanya hebu fanya hivi..
Ipitie kwanza uangalie ni kipi / ni wazo lipi litakufaa draw a small list of five or more of the things you want to engage in. Then come here to seek more advice and deep research!
Wish you all the best!.

Asante mku kwa maoni yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu una mawazo kadhaa ya biashara lakini unaogopa hasara kwa kuwa ndio unaanza,zipo biashara pia ambazo naweza kwambia ufanye lakini uaminifu miongoni mwetu upo?

Do the thing you fear to do and keep on doing it... that is the quickest and surest way ever yet discovered to conquer fear.

Take a chance! All life is a chance.The man who goes farthest is generally the one who is willing to do and dare.

The successful man will profit from his mistakes and try again in a different way.

Hiyo million ni kubwa sana,una weza anza na 400,000 ukaizungusha zaidi na zaidi vile unatengeneza brand na uaminifu kwa wateja wako ndio utaongeza taratibu mtaji wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa tu hayo madini iwe faida kwa wote Sharing is caring
 
Habari !!, natumaini wote ni wazima wa afya bila kupotea mda acha niende kweye mada moja kwa moja!.

Wadau nilikuwa naomba ushauri wenu ,mm natarajia kumalizia chuo miezi ya hivi karibuni ,nimejaribu kujiwekea akiba nimefikisha kama kiasi cha mil. 1,000,000

ila mpaka sasa sijui biashara IPI nifanye kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa maana me bado sina uzoefu kwenye biashara.

Naombeni mawazo yenu namini wote ni watafutaji, Leo kwangu kesho kwako"#

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimemaliza mwaka Jana kama wewe tu ila nilikua na target flani ya biashara nimekuja mtaani nikafungua salon ya kiume fundi mwenywe cha msingi jifunze kwnza ufanye kazi mwenyewe usimpe mtu nimejionea tena usijaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nilijifunza mwanzoni nilipitia changamoto kukosa wateja kisa sijui kunyoa kwa ubora lakini ujunja ujunja ukanizidisha maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
mmh interested | kumbe ulijifunza ushafungua office before ulikuwa hujui hata kidogo, nipe ujanja mzee maana na mimi plan yangu kufungua saloon ila izo story nazosikia ukimuweka mtu azipendezi kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom