Mwanyonga
Senior Member
- Jun 11, 2012
- 141
- 20
Polen na majukumu wadau,mwenzenu ninapatwa na maumivu makal wakati wa kwenda haja kubwa,haja inatoka ngumu yenye makamasi mengi na humegukameguka na mara chache huchanganyana na damu kwa mbaali na mara nyingine nikimalza kujsaidia nyama inakuwa kama inatoka kwa nje au panakuwa kama pamevimba na kurudi taratibu ndan mpaka inapelekea maumivu makal ya kiuno,kwasasa tatzo lmedumu miaka minne (4) na niliwahi kwenda hospital wakasema sinywi maji mengi na wakanpa ethromising na anusul dawa ya kuingza nyuma lakn hazkusaidia,naomben msaada