Wadau naombeni msaada jamani

Wadau naombeni msaada jamani

Mwanyonga

Senior Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
141
Reaction score
20
Polen na majukumu wadau,mwenzenu ninapatwa na maumivu makal wakati wa kwenda haja kubwa,haja inatoka ngumu yenye makamasi mengi na humegukameguka na mara chache huchanganyana na damu kwa mbaali na mara nyingine nikimalza kujsaidia nyama inakuwa kama inatoka kwa nje au panakuwa kama pamevimba na kurudi taratibu ndan mpaka inapelekea maumivu makal ya kiuno,kwasasa tatzo lmedumu miaka minne (4) na niliwahi kwenda hospital wakasema sinywi maji mengi na wakanpa ethromising na anusul dawa ya kuingza nyuma lakn hazkusaidia,naomben msaada
 
Nenda Lembeni- Same kuna Doct atakusaidia pale
 
Mimi sio daktari lakini nilafahamu tatizo lako.

Wewe unasumbuliwa na constipation (choo kigumu) pamoja na hemorrhoids (damu na nyama kutoka).

Kwa constipation nakushauri ule mboga za majani au prunes nyingi pamoja na maji mengi.
Angalia ni dawa gani (prescription) unazotumia? Mara nyingi nacortics husababisha choo kigumu. Muulize daktari wako kama dawa unazotumia zina madhara hayo.

Hemorrhoids zinapotoa damu tu unaweza kuzitibu kwa dawa (suppositories) kama Preparation-H. Lakini kama tatizo likiendelea unaweza kuhitaji operation waziondoe halafu mambo yanakuwa fresh.

ILANI:
Damu kutoka kwenye haja kubwa kunaweza kuwa hemorrhoids lakini mbaya zaidi inaweza kuwa ni colon cancer. Tafadhali sana muone daktari akuchunguze. Colon cancer inatibika vizuri ikionekana mapema. Kama uko chini ya miaka 50 basi pengine sio colon cancer - lakini nenda kamuone daktari haraka sana.

Pole mkuu. Majibu yangu sio ya kitaalamu na pengine yamekutisha lakini waswahili wanasema "kunguru muoga hukimbiza/huponyesha ubavu wake".

Kila la kheri bwana, Mungu atakuafu.
 
Kunywa juisi ya ukwaju ndiyo dawa ya kufunga choo nzuri kuliko nyingine yoyote duniani. Kunywa glasi moja kila baada ya masaa 3

Nitajie pia urefu na uzito wako
 
Asante wakuu nna uzto wa kilo 54,uref futi 5 na nusu na umri miaka 30
 
ASANTE MKUU KIFYATU,NAOMBA UFAFANUZ KIDOGO WA MANENO nacortics na prunes SAMAHAN KWA USUMBUFU
 
Mkuu Mwanyonga samahani kwa kuchelewa kukujibu kwa sababu hukunitonya kama unaniuliza swali. Kumfahamisha mtu andika alama hii kwenye mibano (@) ikifuatia jina lake. Usitumie mibano.

Anyway, majibu ya maswali yako haya hapa.

1. Narcotics ni dawa kali sana za maumivu na zina leta ulevi. Watu wengi wanaobwia unga (drugs) hutumia hizi dawa za maumivi kama kilevi mbadala. Narcotics unazoweza kupewa na daktari ni kama Oxycodone, Hydrocodone,Codein , nk.

Kwa upande wako sidhani constipation yako inatokana na matumizi ya hizi nacortics kwa sababu umekuwa na hali hii kwa muda mrefu sasa.

2. Prunes ni matunga mazuri sana ya kulainisha haja kubwa. Yanafana na matunda damu na yanaonekana hivi
AXPdP9DyxinpAAAAAElFTkSuQmCC

yakiwa fresh.

na hivi
wft4RiGaF3d1cAAAAASUVORK5CYII=

yakiwa yamekaushwa.
 
ASANTE MKUU KIFYATU,NAOMBA UFAFANUZ KIDOGO WA MANENO nacortics na prunes SAMAHAN KWA USUMBUFU

Mkuu Mwanyonga samahani kwa kuchelewa kukujibu kwa sababu hukunitonya kama unaniuliza swali. Kumfahamisha mtu andika alama hii kwenye mibano (@) ikifuatia jina lake. Usitumie mibano.

Anyway, majibu ya maswali yako haya hapa.

1. Narcotics ni dawa kali sana za maumivu na zina leta ulevi. Watu wengi wanaobwia unga (drugs) hutumia hizi dawa za maumivi kama kilevi mbadala. Narcotics unazoweza kupewa na daktari ni kama Oxycodone, Hydrocodone,Codein, nk.

Kwa upande wako sidhani constipation yako inatokana na matumizi ya hizi nacortics kwa sababu umekuwa na hali hii kwa muda mrefu sasa.

2. Prunes ni matunga mazuri sana ya kulainisha haja kubwa. Yanafana na matunda damu na yanaonekana hivi
AXPdP9DyxinpAAAAAElFTkSuQmCC

yakiwa fresh.

na hivi
wft4RiGaF3d1cAAAAASUVORK5CYII=

yakiwa yamekaushwa.
 
Last edited by a moderator:
ASANTE MKUU KIFYATU,NAOMBA UFAFANUZ KIDOGO WA MANENO nacortics na prunes SAMAHAN KWA USUMBUFU

Mkuu Mwanyonga samahani kwa kuchelewa kukujibu kwa sababu hukunitonya kama unaniuliza swali. Kumfahamisha mtu andika alama hii kwenye mibano (@) ikifuatia jina lake.

Back
Top Bottom