Wadau naombeni msaada, nina kiungulia

Wadau naombeni msaada, nina kiungulia

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu.

Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda najiona napepesuka barabarani ila dozi bado sijamaliza.
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ni pilipili,kula pilipili kwa sana.
Pia unapolala hakikisha ulalii ubavu wa inni
 
Nenda Hospitali mkuu,
Hapa JF utalishwa kila aina ya takataka,au malizia kwanza hiyo dozi,huwezi kupona kabla hujamaliza dozi,

Pole sana Mkuu.
 
Ulileta Uzi hapa wa kuomba ushauri mkuu kuhusu hivo vidonda vya tumbo, ukapewa ushauri wa dawa zaidi ya 50 hapa jf, kesho yake nikaona unaleta Uzi unatoa ushuhuda umepona, nikashangaa sana, nikasema this is strange!!!

Pole kiongozi, Kuna dawa ya asili niliwahi kupewa bukoba kipindi Cha nyuma sana nikapona kabisa ila siikumbuki Hata ilikua na components gani
 
Sawa
 
Tengeneza juice ya Tango kunywa asubuhi mcha na jioni kabla kulala
 
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu.

Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda najiona napepesuka barabarani ila dozi bado sijamaliza.
Usivae chupii au boxer kwa siku 3 mfululuzo, utaja nishukuruu.
 
Back
Top Bottom