mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
Kama relcer gel haijakusaidia jaribu omeprazol...pia zingatia kuepuka vyakula vinavyoleta kiungulia kama viazi vitamu, ndizi aina zote mbichi na za kuiva, vwakula vya unga wa ngano,baadhi ya mboga za majani kama kisamvu, mboga kama dagaa nk..nk.....pia ukiwa umetoka kula unapolala pendelea kulalia upande wa kushoto na mwisho kabisa pata vijiko 2 vya asali mbichi usiku unapotaka kulala ambapo ndo kiwe kitu cha mwisho kutia tumboni, na vijiko 2 unapoamka kabla hujatia chochote mdomoni hata mswaki......zingatia hayo wiki tu utarudi kushukuru.