Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Coca si inagesi mkuu Mimi ninavidonda vya tumbo nikinywa hiyo coca itaniletea shidaDuhh pole sana kunywa coca au tafuna mdarasini
Asante
Kila siku niwe nalamba au mara mojaLamba majivu,,ila uwe jasiriiii
Lamba pale utavohisi kiunguliaKila siku niwe namba au mara moja
Hiyo haikunisaidiaTembea na Relcer gel
SawaLamba pale utavohisi kiungulia
Ndio upande Gani ubavu wa iniDawa ya vidonda vya tumbo ni pilipili,kula pilipili kwa sana.
Pia unapolala hakikisha ulalii ubavu wa inni
SawaUlileta Uzi hapa wa kuomba ushauri mkuu kuhusu hivo vidonda vya tumbo, ukapewa ushauri wa dawa zaidi ya 50 hapa jf, kesho yake nikaona unaleta Uzi unatoa ushuhuda umepona, nikashangaa sana, nikasema this is strange!!!
Pole kiongozi, Kuna dawa ya asili niliwahi kupewa bukoba kipindi Cha nyuma sana nikapona kabisa ila siikumbuki Hata ilikua na components gani
SawaNenda Hospitali mkuu,
Hapa JF utalishwa kila aina ya takataka,au malizia kwanza hiyo dozi,huwezi kupona kabla hujamaliza dozi,
Pole sana Mkuu.
Usivae chupii au boxer kwa siku 3 mfululuzo, utaja nishukuruu.Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu.
Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda najiona napepesuka barabarani ila dozi bado sijamaliza.