mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
Sawa mkuuKama relcer gel haijakusaidia jaribu omeprazol...pia zingatia kuepuka vyakula vinavyoleta kiungulia kama viazi vitamu, ndizi aina zote mbichi na za kuiva, vwakula vya unga wa ngano,baadhi ya mboga za majani kama kisamvu, mboga kama dagaa nk..nk.....pia ukiwa umetoka kula unapolala pendelea kulalia upande wa kushoto na mwisho kabisa pata vijiko 2 vya asali mbichi usiku unapotaka kulala ambapo ndo kiwe kitu cha mwisho kutia tumboni, na vijiko 2 unapoamka kabla hujatia chochote mdomoni hata mswaki......zingatia hayo wiki tu utarudi kushukuru.
Pole sana,kiungulia ni ishara asidi inazalishwa tumboni kupita kiasi na kupanda hadi kooni (kiunganishi cha tumbo na mdomo tunaita oesophagus ,hali hiyo tunaita GERD.Nashauri utafute mmea jamii ya mkandandogowe (psorospermum febrifegum) kwa wiki 2 utakaa sawa.Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu.
Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda najiona napepesuka barabarani ila dozi bado sijamaliza.
Ukiwa na kiungulia maana yake una vidonda vya tumbo.Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu.
Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda najiona napepesuka barabarani ila dozi bado sijamaliza.