- Thread starter
- #21
panaitwa mwasonga, ni mbele ya dsm zoo ukipitia kibada. Maji yako karibu, ukichimba hufikishi mita sita kabla hujayapata.
okay ahsante mdau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
panaitwa mwasonga, ni mbele ya dsm zoo ukipitia kibada. Maji yako karibu, ukichimba hufikishi mita sita kabla hujayapata.
Lima matikiti, kwa kila heka unapata faida ya milioni 2 mpaka 3.5. na yanachukua siku 60 mpaka kuvunwa. Mimi nina eneo linalofaa kwa kilimo hicho Kigamboni KM 24 kutoka ferry na panauzwa kwa milioni 1 kwa heka.
Duka la spea kwa milioni 10?!!!
Sidhani kama mtu unaweza kuwaza kuanza duka la spea bila kuwa na milioni mia kadhaa...
vipi kuhusu spare za pikipiki? sio lazima duka liwe kuubwa, kwa kuanzia tu, mtaji sh ngap ndugu
Kama unataka investment ya uhakika baada ya miaka mitatu uvune mara tatu yake.Nilinunua shamba la ekari 2 Kimbjiji, mbali sana kutoka kigamboni mwaka juzi mwezi wa nane kwa chini ya shilingi Ml 2, leo ninataka kuliuza kwa bei ya mil10(maongezi yapo), na shamba hili halina mazao, ila liko karibu na barabara.Ukitokea ukalipanda miti michache sasa a nina uhakika baada ya miaka mitatu unaweza ukaliuza kwa mil 60 na zaidi, ukumbuke shamba liko Dar es salaam,na itakuwa sehemu hot sana muda si mrefu, ukizingatia kwamba daraja la kigamboni linajengwa, na kiwanda kipya cha sementi.Pia kuna maji mazuri yasiyo na chumvi kina kifupi kama utachimba kisima.Ni mahali panapofaa sana.Na pia si mbali na barabara kuu. Mimi nina mashamba kadhaa huko.Ninaliuza mojawapo ili nijenge mabanda ya mifigo shamba lingine kubwa hukohuko.Na mimi nilikopa pia, na sikujua nifanye bisahara gani na mtu mmoja alinishauri huko kigamboni si wamepiga stop kuuza na kununua maeneo jamani
Kama hujielewi bora ukanuue hisa ukiwa unawaza nini cha kufanyia.
Spare parts zinalipa sana, kuanzia za pikipiki au magari, profit margin yake ni 500%. Ukiweza kuzifuata dubai utakuja kusimulia.
Mkuu
nimevutiwa na hili wazo.
Naomba ufafanuzi zaidi kwa manufaa ya wale wote tunaopenda kuanza ili
tufahamu kiundani kabla ya kuja kukutafuta ili kununua shamba.
Gharama yote kwa eka kuanzia kununua shamba hadi mavuno naweza kutumia
sh ngapi kwa wastani? Nikishauza matikiti naweza kupata sh ngapi? Je
naweza kulima matikiti miezi yote 12 kwa awamu kama nimenunua eka zaidi
ya moja na nikavuna kila mwezi bila tatizo au kilimo ni kwa msimu tu?
Naomba kwanza unisaidie kwa haya maswali kwanza mengine tutatafutana
maana nina shauku kubwa sana ya kuanza kilimo hiki.
heka 1 ya matikiti inakuwa
na wastani wa miche mingapi mkuu? kila mche unakuwa na matikiti
mangapi?
kuhusu spare za pikipiki ndugu, nikitaka kuanza kabla ya kwenda huko dubai mtaji minimum sh ngapi? maana location ni mkoani sio dar
Lima matikiti, kwa kila heka unapata faida ya milioni 2 mpaka 3.5. na yanachukua siku 60 mpaka kuvunwa. Mimi nina eneo linalofaa kwa kilimo hicho Kigamboni KM 24 kutoka ferry na panauzwa kwa milioni 1 kwa heka.
Lima matikiti, kwa kila heka unapata faida ya milioni 2 mpaka 3.5. na yanachukua siku 60 mpaka kuvunwa. Mimi nina eneo linalofaa kwa kilimo hicho Kigamboni KM 24 kutoka ferry na panauzwa kwa milioni 1 kwa heka.
Duka la spea kwa milioni 10?!!!
Sidhani kama mtu unaweza kuwaza kuanza duka la spea bila kuwa na milioni mia kadhaa...
Mil 10 ni nyingi ukizitamka lakini ukianza kuzifanyia mchakato ni ndogo sana ushauri kama upo maeneo ya tegeta tafuta duka la vifaa vya umeme. Ni biashara ambayo inalipa sana anza na product za nyumbani ukiona mtaji umekuwa jipinde dubei utakuja kunieleza kwa maelezo ukihitaji zaidi ni pm haiana presha na watu wanajenga kila siku wanahitaji hivyo vitu
Mke wa Mkuu, umetoa ushauri mzuri sana! Kila siku mahitaji ya vitu hivyo yanaongezeka lazima atafanya biashara tu! Hapo pa kwenda Dubai inakuaje mkuu? Vifaa vya ujenzi inatakiwa mtu uanze na mtaji kiasi gani? Au hivyo vya umeme? Dubai na Hong Kong wapi panalipa?
No yako mkuu, mi nahitaji
Jerry no plz
Acha kumtisha bwana! Hii ndo shida ya wa-Tz hatujui kuanza kidogo kidogo, tunataka tukianza tu duka hilooo misifa mji mzima!! Nafikri katika hili anaweza kuanza kidogo kwa kuangalia zile spea muhimu na uzuri kwa vile hatarajii hii fedha kuwa anaitumia kwa kula naamini ataenda! Hapa achotakiwa kufanya ni kuangalia ni spea zipi zinatoka haraka! biashara nyingine ni duka la vifaa vya ujenzi vile vidogovidogo, hii inalipa sana tu hasa ukipata site nzuri.
Hongkong hapana china ok lakini lazima uwe na agent wa kukusaidia na ujue kuchague vitu vilivyo bora china kuna vitu rahisi sana na vitu ghali na quality tofauti watu wanavyodhani dubei ni pazuri mzigo unafika kwa muda mfupi pia unapata vitu imara hasa ukienda sehemu moja inaitwa. Raslihema sehemu hiyo ndio inaviwanda vingi vitu vya china dubei utapata dragon mart kuna maagent wa viwanda vya china dubei kwa sasa hotel ziko juu kidogo sio kama zamani ila china hotel kiasi nafuu mtaji wa chochote unategemea research yako wewe mwenyewe ila ushauri usivamie biashara kwa mtaji mkubwa sana anza kidogo kisha ongeza mtaji kufwatana na soko lako though my experiance