Andazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,113
- 2,234
Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza)
Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona poa tu) ila ni alergy na mwanga
Dokta akasema ninunue miwani ya mwanga
Nilikaa baadae nikaenda kupima tena nipo fresh na ndio nikanunua hii miwani ila naona haina tofauti na ile ya kawaida hebu wakuu semeni sijapigwa?
Hii miwani naitumia nikiwa kazini tu na leo ndio naichukua sijawahi vaa miwani hata ya urembo ila inavuta kweli kwenye macho (sababu sijawahi vaa miwani)
Ila nashaka sio ya kupunguza mwanga bei nilinunua elf40