WANGAMBA
Member
- Jul 21, 2022
- 64
- 102
Juzi nililikua site kwangu Buhongwa Mwanza kiwanja kilipimwa viwanja viwili najiandaa na ujenzi nimeshasogeza baadhi ya material kama tofari na mawe kama trip 8 iv sasa jamaa mmoja alieniletea tofari akanipa wazo kwanini usiweke vyumba vya kupangisha maana huku wapangaji wanatafuta vyumba sana na eneo lako linawateja wengi tu
Sasa changamoto nilionayo ndio uwanja nilionao na kuna wakati naona eneo limechangamka saaana na sipendi kukaa sehem iliyochangamka sana na pili nimechoka kukaa nyumba ya familia nipo peke yangu na wapangaji tu naona nijenge kwangu kabla upepo haujabadilika hapa nilipo
Eneo linaweza kutoa vyumba kama 20 wa 40000 kwa mimi ntatafuta sehemu nyingine ya kuanza ujenzi au kiwanja kimoja nijenge nyumba za wapangaji kingine nikae mwenyewe lakini nikikumbuka changamoto za wapangaji ninazokutanana nao hapa hamu kujenga nyumba vya upangaji inapungua kabisaaa
# naombeni mawazo yenu