Wadau naombeni ushauri wenu kuhusu hili?

WANGAMBA

Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
64
Reaction score
102
Juzi nililikua site kwangu Buhongwa Mwanza kiwanja kilipimwa viwanja viwili najiandaa na ujenzi nimeshasogeza baadhi ya material kama tofari na mawe kama trip 8 iv sasa jamaa mmoja alieniletea tofari akanipa wazo kwanini usiweke vyumba vya kupangisha maana huku wapangaji wanatafuta vyumba sana na eneo lako linawateja wengi tu

Sasa changamoto nilionayo ndio uwanja nilionao na kuna wakati naona eneo limechangamka saaana na sipendi kukaa sehem iliyochangamka sana na pili nimechoka kukaa nyumba ya familia nipo peke yangu na wapangaji tu naona nijenge kwangu kabla upepo haujabadilika hapa nilipo

Eneo linaweza kutoa vyumba kama 20 wa 40000 kwa mimi ntatafuta sehemu nyingine ya kuanza ujenzi au kiwanja kimoja nijenge nyumba za wapangaji kingine nikae mwenyewe lakini nikikumbuka changamoto za wapangaji ninazokutanana nao hapa hamu kujenga nyumba vya upangaji inapungua kabisaaa
# naombeni mawazo yenu
 
Iko hiv biashara ya nyumba inahtaj ue na mirad mingine ndio ufanye kama nyumba n long plan aset uez jenga nyumba kwa ml3 ukaipangisha kwa 40000 kwa mwezi apo ujue utatumia si chin ya ml 20 au 30 ndio uweze kupata mpangaj wa chumba 40 au 50 kwa mwez yan uwekeze ml 20 au 30 uje upate 40 kwa mwez na bado choo kikijaa mwenye nyumba unahusika yan ukpga hesabu hata uwe na wapangaj 6 umewekeza pesa yote iyo n sawa uanzishe biashara ya ml 20 au 30 alafu kwa siku unaauza 4500 au 5000
 
Nashukuru kwa ushauri wako
 
Wapangaji wasumbufu sana. Wanakatisha tamaa ya kujenga nyumba kwa ajili yao
 
Iko hiv biashara ya nyumba inahtaj ue na mirad mingine ndio ufanye kama nyumba n long plan aset uez jenga nyumba kwa ml3 ukaipangisha kwa 40000 kwa mwezi apo ujue utatumia si chin ya ml 20 au 30 ndio uweze kupata mpangaj wa chumba 40 au 50 kwa mwez yan uwekeze ml 20 au 30 uje upate 40 kwa mwez na bado choo kikijaa mwenye nyumba unahusika yan ukpga hesabu hata uwe na wapangaj 6 umewekeza pesa yote iyo n sawa uanzishe biashara ya ml 20 au 30 alafu kwa siku unaauza 4500 au 5000
Let say 40M ujenzi, vyumba 6. Kwa mwezi kwa bei ya 40k maana yake ni 240000 mara 12 ya mwaka 2,88,000 it will take you almost 20yrs kurejesha pesa yako. Hapo bado hakuna faida
 
Duuh huko kwenu mnaisha rahis single room elfu40???? 😳

Ukitaka usisumbuane na wapangaj jenga nyumba simple ya Seble, jiko na vyumba 2 vya kulala... Ungekua huku nilipo hapo ni 250k kwa mwezi... Ukijenga single room ni hasara na utapata wapangaji wenye maisha ya kuunga unga...
 
Back
Top Bottom