Wadau nasikia mko wakarim sna?

Wadau nasikia mko wakarim sna?

SIS DREAD

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
33
Reaction score
2
Wapendwa nimepata sifa zenu kwamba wana JF ni wakarimu kupita maelezo, naomba tujumuike pamoja mnipokee nione huo ukarimu wenu ili nami niwaonyeshe ukarimu wangu na hekima nilizonazo hodi humu ndani.
 
Karibu sana jiskie amani!
"Where we Dare talk open",jf daima
 
Walakini huyu atakua mwenyeji, kaja kivingine baada ya kukuta na kibanzi cha ban.
KaRIbu.
 
Back
Top Bottom