Shukrani Mkuukila kheri, utalipata bila shaka lakini baada ya miezi 6 utakuwa na idea ya ufundi magari, andaa spana set
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mkuuMuundo wa Tax?!...hapo utagombana na TRA [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,watu tukinyoosha maelezo tunaonekana wababe.Hapana mkuu,tumepunguza usumbufu pia!!anakuja mtu PM, "ongeza 1M nikupe oppa kali sana"Mkuu, tangazo lako limekaa kibabe hatari....
Nikutakie tu kila la kheri
Hapa tunasema mbuzi kafia kwa muuza supu.... Autaki unachotakaNB ; sihitaji gari iliyo kwenye muundo wa Taxi
-sichagui aina ya gari kikubwa tu spea ziwe zinapatikana kwa urahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea mkuu ni Kama vile ambavyo uwezo wa kufikiri ama kuelewa ulivyo tofauti
Asante sana Mkuukila la heri,Pole pole utapata
Lete pesa yako tufanye biashara nna alteza.Habari wakuu
Ambaye anauza gari au anaweza nielekeza sehemu nkapata gari ndogo ya milioni 3 Tu naomba tuwasiliane.
NB ; sihitaji gari iliyo kwenye muundo wa Taxi
-Pia ofa yangu ni 3M tu siwezi ongeza zaidi ya hapo.Huo ndo uwezo wangu kwasasa
-sichagui aina ya gari kikubwa tu spea ziwe zinapatikana kwa urahisi
0767833496
0622111186
Sent using Jamii Forums mobile app