Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Ipige picha vizuri basi lionekaneLete pesa yako tufanye biashara nna alteza.View attachment 1013402
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipige picha vizuri basi lionekaneLete pesa yako tufanye biashara nna alteza.View attachment 1013402
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana MkuuLete pesa yako tufanye biashara nna alteza.View attachment 1013402
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja Mkuu kazana gari utapata tu hiyo hela inatosha sana kwa gari la kuuzia nyago mjini
Pamoja sana MkuuTuko pamoja Mkuu kazana gari utapata tu hiyo hela inatosha sana kwa gari la kuuzia nyago mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.Lete pesa yako tufanye biashara nna alteza.View attachment 1013402
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you So Much MkuuWasikitishe mkuu uwezekano wa kupata gari nzima kwa kibongobongo upo alimradi uwe unayajua magari au tafuta fundi mzuri na unaemuamin akusaidie katika hili.. Usiache kutangaza katika hili km utakuwa mvumilivu na bahati kwako unawwza ipbua gari safi kuna watu wanauza pia kwa masahibu ya kidunia, muhimu tangaza tu kwa watu. Kuna jamaa yangu mwaka juzi alipata gari namba A mpaka leo anatumia na hakuna cha miezi 6 kwa fundi wala nini ila yey ni mtu wa magari anaendesha magari makubwa ya mchanga.
Sent using Jamii Forums mobile app