Wadau Natafuta gari ndogo ya milioni 3

Wasikitishe mkuu uwezekano wa kupata gari nzima kwa kibongobongo upo alimradi uwe unayajua magari au tafuta fundi mzuri na unaemuamin akusaidie katika hili.. Usiache kutangaza katika hili km utakuwa mvumilivu na bahati kwako unawwza ipbua gari safi kuna watu wanauza pia kwa masahibu ya kidunia, muhimu tangaza tu kwa watu. Kuna jamaa yangu mwaka juzi alipata gari namba A mpaka leo anatumia na hakuna cha miezi 6 kwa fundi wala nini ila yey ni mtu wa magari anaendesha magari makubwa ya mchanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you So Much Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…