Wadau nataka kuchukua Goli Kariakoo

Wadau nataka kuchukua Goli Kariakoo

Ukifungua ongezea na stock ya vigodoro size zote utatoboa kirahisi maana hako kabiashara kanatrend sana siku hizi
 
Wadau ushauri wenu nimepewa connection na ndugu yangu Kuna kigori kariakoo. vipi wadau Sasa kariakoo biashara kwa Sasa ikoje nataka kuingia kuuza braa, chupi, tight za wadada zakuvaa na zabana tumbo.

Napokea ushauri wenu wowote hata wa biashara mpya
Uoga wako ndiyo umasikini wako.
 
Back
Top Bottom