M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Aug 20, 2023 Thread starter #21 Chance ndoto said: Pambana. Mteja mfalme. Jua nini kinatakiwa kwa muda. Karibu sana kkoo Click to expand... Asanteni sana Kariakoo
Chance ndoto said: Pambana. Mteja mfalme. Jua nini kinatakiwa kwa muda. Karibu sana kkoo Click to expand... Asanteni sana Kariakoo
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,230 Reaction score 6,742 Aug 20, 2023 #22 Ukifungua ongezea na stock ya vigodoro size zote utatoboa kirahisi maana hako kabiashara kanatrend sana siku hizi
Ukifungua ongezea na stock ya vigodoro size zote utatoboa kirahisi maana hako kabiashara kanatrend sana siku hizi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 20, 2023 #23 malembeka18 said: Wadau ushauri wenu nimepewa connection na ndugu yangu Kuna kigori kariakoo. vipi wadau Sasa kariakoo biashara kwa Sasa ikoje nataka kuingia kuuza braa, chupi, tight za wadada zakuvaa na zabana tumbo. Napokea ushauri wenu wowote hata wa biashara mpya Click to expand... Uoga wako ndiyo umasikini wako.
malembeka18 said: Wadau ushauri wenu nimepewa connection na ndugu yangu Kuna kigori kariakoo. vipi wadau Sasa kariakoo biashara kwa Sasa ikoje nataka kuingia kuuza braa, chupi, tight za wadada zakuvaa na zabana tumbo. Napokea ushauri wenu wowote hata wa biashara mpya Click to expand... Uoga wako ndiyo umasikini wako.