Wadau nataka nikamate kitu Corola X, ushauri

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua mtu bei za Ist, Alex Runx kama zipo juu (Mind you hii ni kutokqna na uwezo wangu, usilete dhihaka zako).

Nataka nikamate ka usafiri humble tu, Corola X. Naombeni ushauri juu ya mambo ya hapa na pale ya kitalaamu.

Jamani changieni basi, maana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu mimi Mtanzania.
 
Ninayo hii gari ipo poa kwa misele mjini.
 
unatuchanganya babu
mark x ndo hiyohiyo corolax au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ