adriel
Member
- Jul 31, 2015
- 51
- 32
Kweli kabisaWadau wote mnaotoa michangongo yenu kunisaidia kimawazo mimi Kabwela "Common Man" nawashukuru sana.Ila bado naona kama ushauri wa kitaalam sana sijapata.Ndugu zangu wengine nwanapota tu hapa hata hawatupii chochote.Jamani sadaka siyo mpakanupeleke kwa nabii.Ukitoa mawazo yako hapa ni sadaka tosha na Mungu atakubariki.