Wadau natangaza NDOWA..

Wadau natangaza NDOWA..

Kama kichwa cha khabari kinavyojieleza, hii ndio khali khalisi.

Baada ya kuzunguka majiani bara na visiwani, hatimaye nimefikia kikomo, yaani Kigoma mwisho wa reli. Nimefanikiwa kupata kipusa kutoka humuhumu JF. Kwa taarifa zaidi msinitie midole machoni, bibie Zawadi Kingwendu Ngoda ndiye mtarajiwa. Naona aje humu kuwaelezea mipango ya harusi inaendeleaje na atawa-update zaidi.

Wabillah tawfeeq

WITH DUE RESPECT...,huyu mtarajiwa siyo binti wa KINGWENDU yule muigizaji wa vichekesho?
 
WITH DUE RESPECT...,huyu mtarajiwa siyo binti wa KINGWENDU yule muigizaji wa vichekesho?
Hii ni chitchat mazee..don't overanalyse nor look too much on it.

BTW, hii ID ya Zawadi Kingwendu Ngoda nadhani ni yananiliu ..huyu ajuza lesbo. #nuthinserioushere
 
DOh Ndoa Vipi Imefifia Au Ndio Tour Unazunguka sasa Ziwa Tanganyika? mie nakutakia kila la Kheri na mafanikio upate wa Kwenda kukutana naye Peponi InshaAllah.
 
huyo mtarajiwa hajui hata kama yeye ni mtarajiwa.
 
DOh Ndoa Vipi Imefifia Au Ndio Tour Unazunguka sasa Ziwa Tanganyika? mie nakutakia kila la Kheri na mafanikio upate wa Kwenda kukutana naye Peponi InshaAllah.
teh teh teh..Ziwani tena?

Mie pamoja na ujanja wangu woote kwene matters of heart ni chronic victim, najaribu kurecover and trusting, idk till when. Pengine wahenga walosema 'why fools fall in love' pengine wanayo hoja!

"Somebody That I Used To Know"
(feat. Kimbra)

[Gotye:]
Now and then I think of when we were together
Like when you said you felt so happy you could die
Told myself that you were right for me
But felt so lonely in your company
But that was love and it's an ache I still remember

You can get addicted to a certain kind of sadness
Like resignation to the end, always the end
So when we found that we could not make sense
Well you said that we would still be friends
But I'll admit that I was glad it was over

But you didn't have to cut me off
Make out like it never happened and that we were nothing
And I don't even need your love
But you treat me like a stranger and I feel so rough
No you didn't have to stoop so low
Have your friends collect your records and then change your number
I guess that I don't need that though
Now you're just somebody that I used to know

Now you're just somebody that I used to know
Now you're just somebody that I used to know

[Kimbra:]
Now and then I think of all the times you screwed me over
Part of me believing it was always something that I'd done
But I don't wanna live that way
Reading into every word you say
You said that you could let it go
And I wouldn't catch you hung up on somebody that you used to know

[Gotye:]
But you didn't have to cut me off
Make out like it never happened and that we were nothing
And I don't even need your love
But you treat me like a stranger and I feel so rough
And you didn't have to stoop so low
Have your friends collect your records and then change your number
I guess that I don't need that though
Now you're just somebody that I used to know

[x2]
Somebody
(I used to know)
Somebody
(Now you're just somebody that I used to know)

(I used to know)
(That I used to know)
(I used to know)
Somebody

Back
Top Bottom