Kama kichwa cha khabari kinavyojieleza, hii ndio khali khalisi.
Baada ya kuzunguka majiani bara na visiwani, hatimaye nimefikia kikomo, yaani Kigoma mwisho wa reli. Nimefanikiwa kupata kipusa kutoka humuhumu JF. Kwa taarifa zaidi msinitie midole machoni, bibie Zawadi Kingwendu Ngoda ndiye mtarajiwa. Naona aje humu kuwaelezea mipango ya harusi inaendeleaje na atawa-update zaidi.
Wabillah tawfeeq
Hii ni chitchat mazee..don't overanalyse nor look too much on it.WITH DUE RESPECT...,huyu mtarajiwa siyo binti wa KINGWENDU yule muigizaji wa vichekesho?
Kweli kiswahili ni lugha ya kujifunza.teh teh teh teh...
Baada ya kuandika uzi huu, dk 10 badae nilitoa talaka rejea.hamkuelewana vizuri na mtarajiwa nn, mbona hajitokezi?
Na imani sasa ushapata mwingine maana tangu 2009 muda umepita sanaBaada ya kuandika uzi huu, dk 10 badae nilitoa talaka rejea.
Hapana bi mkubwa, bado nipo sokoni na-recruit kimyakimya..Na imani sasa ushapata mwingine maana tangu 2009 muda umepita sana
teh teh teh..Ziwani tena?DOh Ndoa Vipi Imefifia Au Ndio Tour Unazunguka sasa Ziwa Tanganyika? mie nakutakia kila la Kheri na mafanikio upate wa Kwenda kukutana naye Peponi InshaAllah.
utasubiri sana aisee.mh,namsubisi Zawadi mwenyeewe ndo ntatoa pongezi zangu!