Wadau natatuaje hili kwenye mfumo wa ajira?

Wadau natatuaje hili kwenye mfumo wa ajira?

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,092
Reaction score
2,210
nimefikia hatua hii lakini tatizo linakuja pale napotaka kujaza jina la chuo kwenye orodha halipo. nimesoma University of Iringa (UoI)

Screenshot (60).png
 
halijawekwa sawasawa na linavyotakiwa. limeandikwa UNIV- UNIVERSITY OF IRINGA
 
Zamani tulikiita Tumaini University, Iringa University College! Umejaribu kuangalia majina hayo?
Nimejaribu mkuu lakini hakuna kitu. wananiandikia UNIV- UNIVERSITY OF IRINGA. Nikiweka hili jina hawanifungulii ehemu ya kuandika mwaka wa kuhitimu na kuapload vyeti
 
Nimejaribu mkuu lakini hakuna kitu. wananiandikia UNIV- UNIVERSITY OF IRINGA. Nikiweka hili jina hawanifungulii ehemu ya kuandika mwaka wa kuhitimu na kuapload vyeti
Select other ipo chini andika jina la chuo maisha ya yaendelee
 
hapo kwenye select course ndo inazinzua kama vile kuna option zao za kuselect lakn hazifungukii.....kwa anaejua jinsi ya kuruka hiki kiunziii
Hiki ni kiuzi kizito mkuu, mimi nimefeli aisee halafu kwenye kuchagua mikoa ni mziki mnene
 
Back
Top Bottom