Wadau, naweza kutajirika kwa ku-bet online?

Wadau, naweza kutajirika kwa ku-bet online?

huyu hapa imemlipa mpaka majirani wanamuonea wivu

 
1.Jiandae kuwa teja wa kamari.
2.Jiandae kukonda mifupa ya taya itoke nje kama mzee a miaka 80.
3. Jiandae na pressure na kisukari.

Kwanini usifanye kazi mzee?
Kubet kwenyewe ni kazi kama sio kazi jaribu uone joto lake la dakika 90 ndio utajua ni kazi ngumu kuliko hiyo unayoifanya
 
Kabisa mwanawane...kwa mtaji wa laki moja unaweza pata faida asilimia 50 ya mtaji wako ndani ya mwezi. Muhimu usiwe na tamaa ya kingese na pia uwe unabet singles tuu.
 
Back
Top Bottom