Wadau, naweza kutajirika kwa ku-bet online?

Kazi zingekuwepo tungefanya.
Msituletee zenu hapa oh vijana mnachagua kazj. Ujinga wakusifia mtu mwenye maasters kuuza makande pelekeni kwenu.
Wacha vijana wajaribu bahati yao
Kilimo pia ni kazi hamuitaki kisa mna videgree vyenu uchwara
 
Wewe kilimo chenyewe kubet tuu nako. Mnasema nchi inategemea kilimo alafu ata factory ya farming machinery hamna. Tuache masilhara bwana sie tunafanya kilimo cha survival. Wacha vijana tubet kama hivi leo yanga kashanipa hela ya mwezi mzima wa september.
Kubet ajira ujanja ni kuacha tamaaa tuu
 
Ahsante kwa kunihamasisha ndugu.
Wengi hawajui faida ya kubeti .Kila siku naingiza 3000 kwa online betting.
 
Back
Top Bottom