Wadau nguo zangu nyeusi suruali na shati zimepauka nitafanya nini zirudi kuwa mpya tena

Wadau nguo zangu nyeusi suruali na shati zimepauka nitafanya nini zirudi kuwa mpya tena

Hapo hakuna solution nyingine zaidi ya kununua nguo mpya ingawa nilisikia ukiziweka kwenye begi au kabati kwa mda mrefu zinapona but sina imani sana
 
Nyie wote ni vilazer
Kilazer ni yule ambaye miaka zaidi ya 27 unakula ugali wa shikamoo, kila kitu unataka utafuniwe ww kula tu mpaka maswali ya kipuuzi unakuja kutu uliza humu.shughulisha akili yako....acha ujinga
 
Tafuta machicha ya nazi uwe unazipaka na kuzianika, yaani siku tatu tu![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom