Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

Nimepokea GB 3.5 kutoka Halotel Kama fidia ya kukosekana kwa huduma ya Internet siku chache zilizopita.

Asante
 
IMG_20240516_093155.jpg
 
Na wale wa post paid waangalie namna ya kutufikiria, wote tuliteseka.
 
Back
Top Bottom