Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe.

Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
 
Kilichowaponza ni ile fainali Yetu sisi Yanga, hadi leo tunaamini Makolo mliharibu ile game yetu, msidhani kama mtabeba hili kombe
 
Fist half 2

Sec half 2

FT
Simba 4-0 Berkane

Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
 
Back
Top Bottom