Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 May 25, 2025 #1 Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,926 May 25, 2025 #2 Lolote liwakute SSC
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,700 Reaction score 6,335 May 25, 2025 #3 Kilichowaponza ni ile fainali Yetu sisi Yanga, hadi leo tunaamini Makolo mliharibu ile game yetu, msidhani kama mtabeba hili kombe
Kilichowaponza ni ile fainali Yetu sisi Yanga, hadi leo tunaamini Makolo mliharibu ile game yetu, msidhani kama mtabeba hili kombe
Ntu Mpyaaa JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 986 Reaction score 1,823 May 25, 2025 #4 Naunga mkono ukolofi wako.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 May 25, 2025 #5 Lolote baya liwakute makolo.
Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3,014 Reaction score 7,343 May 25, 2025 #6 Fist half 2 Sec half 2 FT Simba 4-0 Berkane Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Fist half 2 Sec half 2 FT Simba 4-0 Berkane Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,700 Reaction score 6,335 May 25, 2025 #7 Ubaya Ubwela said: Fist half 2 Sec half 2 FT Simba 4-0 Berkane Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz Click to expand... Hongereni kwa kuwa mabingwa wapya
Ubaya Ubwela said: Fist half 2 Sec half 2 FT Simba 4-0 Berkane Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz Click to expand... Hongereni kwa kuwa mabingwa wapya