Mivurugano katika ndoa si vita ya palestina na israel kwamba haiishi{hata huko nako kuna upatanisho unafanyika}, kama ni mkeo tengeneza mazingira ya kusameheana, ukali haujawi kuwa msingi wa ndoa, labda muwe mmebebana kimjini mjini.
Usitangulize kula tunda kabla hamjamaliza tofauti zenu, hapo mtakuwa mnabakana.
Jaribu kumsamehe{msamaha ni baraka, msamaha ni mafanikio, msamaha ni neema na msamaha ni rehema pamoja na utajiri}
hauwezi kufurahia kama akili yako inawaza mabaya na hasira au ukali.
KAMA NI MKEO, BASI USIHESABU MABAYA YAKE SAMEHE NA USAHAU HAPO TENDO LA NDOA MTAFURAHIA, KAMA MMEBEBANA TU INAONYESHA HAUNA NIA NAYE.
JITAHIDI SANA KUOMBA KWA IMANI YAKO.
"ZAIDI YA YOTE USIRUHUSU HASIRA KATIKA MAHUSIANO MSIJE JIKUTA MNAISHI KAMA WAPENZI WASIO KUWA NA MALENGO"