To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SafiOmba tunda, usiinyime roho kitu inataka 😅
Ndiyo namna mojawapo ya kumaliza ugomvi ndani ya ndoa. Kesho yake unaamka umepoa, hasira zote kwishney.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiOmba tunda, usiinyime roho kitu inataka 😅
Ndiyo namna mojawapo ya kumaliza ugomvi ndani ya ndoa. Kesho yake unaamka umepoa, hasira zote kwishney.
Ndiyo😀 unajihami sio
sawa njoo tufundishane theory na practical kabisa 😉Ndiyo
Hata mimi siwezo, yani baada ya hapo ugonvi unaanza upya kivipi?Webado haujakuwa mkuu...
Watu hua tunagombana na tunakaushiana ila usiku unavuta kiuno, unabambia kalio alafu unapiga kimoja cha ukiwa the kesho yake mnaendelea na mkausho kama kawaida hadi anaomba msamaha...😜