Wadau, nilikuwa na safari ktk mikoa kadhaa

thereter

Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
46
Reaction score
36
Safari yangu ilinzia Lindi , Dar, Moro, Dodoma now nipo Tabora natalajia jion hii niende Nzega,but sina uzoefu SANA na Nzega napenda nijue eneo la kula lorge nzuri na watoto wabichi.

Asanten.
 
Maadili maadili??????. Tutafika kweli!!!!. wenzetu jioni ni wakati wa kufikiria jinsi ya kutatua changamoto za kazi ila sisi jioni tunafikiria vingine. Haya bwana unaruhusiwa kujibu ovyo unavyooona. Mimi nimeshamaliza.
 
Wewe upo Sawa,sikujibu ovyo but tambua kupanga ni kuchagua
 
Sasa unakaa mapolini nzega utaijua vipi,alafu wewe c umehtimu form four mwaka huu na ni zero brain.pita kushoto.
Sawasawa. Umekosea kuandika Nzega,ukaandika Nze kwasababu ya haraka zisizo za msingi baada ya kubain ulikosea ndo ukaja kurekebisha. Kua na adabu,zero brain ni wewe,kwanza mtu mwenyewe bado ni mchanga sana hapa jf unaleta ujuaji na tumatusi twako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…