Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nze ndo wapi,na lengo la bandiko lako ni nn?Safari yangu ilinzia Lindi ,dar,Moro,Dodoma now nipo Tabora natalajia jion hii niende nze
Maadili maadili??????. Tutafika kweli!!!!. wenzetu jioni ni wakati wa kufikiria jinsi ya kutatua changamoto za kazi ila sisi jioni tunafikiria vingine. Haya bwana unaruhusiwa kujibu ovyo unavyooona. Mimi nimeshamaliza.Safari yangu ilinzia Lindi ,dar,Moro,Dodoma now nipo Tabora natalajia jion hii niende nzega,but sina udhoefu SANA na nzega napenda nijue eneo la kula lorge nzuri na watoto wabichi.asanten.ukiona andiko halikufai usikoment kausha tuu .ukikoment ovyo nami nitakujibu ovyo
Wewe upo Sawa,sikujibu ovyo but tambua kupanga ni kuchaguaMaadili maadili??????. Tutafika kweli!!!!. wenzetu jioni ni wakati wa kufikiria jinsi ya kutatua changamoto za kazi ila sisi jioni tunafikiria vingine. Haya bwana unaruhusiwa kujibu ovyo unavyooona. Mimi nimeshamaliza.
Kama haujui kusoma nyamaza ,wakunisaidia wapo sio lazima uwe kilaza kama wewetukusaidieje sasa
Sasa unakaa mapolini nzega utaijua vipi,alafu wewe c umehtimu form four mwaka huu na ni zero brain.pita kushoto.Nze ndo wapi,na lengo la bandiko lako ni nn?
Sawasawa. Umekosea kuandika Nzega,ukaandika Nze kwasababu ya haraka zisizo za msingi baada ya kubain ulikosea ndo ukaja kurekebisha. Kua na adabu,zero brain ni wewe,kwanza mtu mwenyewe bado ni mchanga sana hapa jf unaleta ujuaji na tumatusi twakoSasa unakaa mapolini nzega utaijua vipi,alafu wewe c umehtimu form four mwaka huu na ni zero brain.pita kushoto.
Mwezi mmoja kua jf unajiona mjanja sana?Sasa unakaa mapolini nzega utaijua vipi,alafu wewe c umehtimu form four mwaka huu na ni zero brain.pita kushoto.