Wadau, nimepunguza Bei ya Unfinished House hii

LIGANGALEO

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Wadau

Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani.
Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na kuzungukia Kata zote.
Na kwa kuwa nina utaalamu na magari, ni Hard Top tu ndio inayoweza kukamilisha azma hiyo. Hivyo imenibidi nipunguze bei ya nyumba hii (Unifinished House) ili nipate pesa haraka iwezekanavyo.

Bei ya sasa ni Ml. 95

Nyumba ina hati na ipo Madale, Dar es Salaam. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba kimoja chini chenye choo na bafu ndani pamoja na Public Toilet ya kawaida kwa wageni.
Ramani ya juu kuna VIP Lounge,Study Room, Master Bed Room na vyumba vingine viwili vinavyojitegemea kwa choo na bafu. Ukubwa wa eneo ni Square Meter 1203. Servant Quarter kwa ajili ya mlinzi imekamilika kama inavyonekana.

Wanajamvi karibuni.

0713 81 08 03
 

Attachments

  • DSC01205.JPG
    10.3 KB · Views: 410
  • DSC01207.JPG
    8.5 KB · Views: 415
Wewe kweli Jiwe.
Yaani unaleta Biashara na Siasa.Au unafikira hao UKAWA ndio watanunua hiyo Nyumba?

Your not Serious na uwezo wako wa kufikiria upo limited.

Angalizo:Kuwa makini na Maisha,wengi wa style yako walianza kudata kama hivi.
Maana kila mud ahii post una ipost upya,sasa naona jinsi siku zinavyokwenda na unapoanza kukosa wateja ndio unazidi kuchanganyikiwa.Haya Acha tusubiri Safari ya
 

Mbavu zangu zinauma sitaki kucheka jioni, yaani kaharibu tangazo kweli hajui magamba ndio wana hela na sasa hawatakuja kununua ili hakose hela ya kuwatoa kwenye jimbo.
 
Mkuu usichanganye siasa na biashara. Magamba wana hela walizochota ESCROW, sasa wewe ukihitaji pesa ya kuwang'oa unadhani utapata mnunuzi? Bora hata ingekuwa siri yako moyoni, unless hauko serious kwenye uuzaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…