The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Nianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila idara ana Mt*ko wa kwenda,kasura sasa kama beyonce huyu hapa..kwenye mapenzi ndo usiseme,hapa ndo nilipokwama baharia,unajua mi mi mzee wa tungi,basi huwezi amini single mother ananifuata hadi bar,kapiga marufuku baa zote hapa mtaani kuniuzia pombe kudadeki hataki utani,jana tu kanikuta nipo na malaya kwenye grocery flani hv tunamwagilia moyo,basi umepigwa mkono unaweza kudhani ni mandonga mtu kazi na kaoneka,msela nikachimba..sasa leo nimeamka nawaza huyu demu Kwa nini asiwe maza house,kwani Kuna ubaya gani ye kuwa na mtoto..eti wadau nipeni ushauri,nimeshanasa