Wadau nimeshanasa Kwa single mazeri

Hongera sana mkuu,single mom hatuna shida....wanaotuharibia ni wale wapenda geuka nyuma kuishia nguzo ya chumvi.Singlemoms wrote tafadhali X harudiwi mwee
Ila mna mapenzi flani hadi nashtuka,unajua sometimes najiuliza " huyu ana lengo gani,kuna kitu anatafuta kutoka kwangu"
 
Huyo ni wako mwamba,kama ameweza hata kudhibiti kwenye mitungi,basi wewe pambania kombe mwana😂
 
Wasikutishe Sana,
Mi ninao Mchepuko single mother.
Yuko POA Sana kiukweli kuzid hata kina mamaJ pasua kichwa wasio na watoto

Changamoto yake
Ni muumini wa ushirikina TU.
Kitu kidg tu tayar keshaamini karogwa
 
Kwani kwenye kikao tulisema sio wazuri au watamu ila endelea, kitakachofuata sisi tulishanawa mikono.Ndo shida ya kulala vikaoni
 
Umechelewa kuwajua Singo Maza.


Aiseeee Hawa viumbe kwanza ni wasafiii, alafu kwenye mbususus wanakupa yoteyote mpaka unamwaga ubongo.


Kunaa Mmoja huku ni ana watoto watatu, Binti yake mkubwa Yuko na 21 .

Huyu Maza, amenonaa, zari Si zari, Kajala sio Kajala

Nyiiiieeee , wee acha


Kuna ile moment Huwa naipenda Anapokua anavua Dela lake, uwiii analivutaa, analipandisha juu, linakua kama limefunika uson, basi nabaki naangalia mwili wake, woooooi minofuuu, Takoooo jamaan anatakooo kubaaaa uwii hahahaha.


Alafu anavyokata uno !!!

Siri yangu, ila nafaidiiii
 
Kwani kwenye kikao tulisema sio wazuri au watamu ila endelea, kitakachofuata sisi tulishanawa mikono.Ndo shida ya kulala vikaoni
Nilipata mrejesho kutoka Kwa wadau waliohudhuria kikao kwamba mlikubaliana singo maza akionesha mapenzi sana si mbaya baharia akichukua mazima"...au waliniingiza chaka
 
Nilipata mrejesho kutoka Kwa wadau waliohudhuria kikao kwamba mlikubaliana singo maza akionesha mapenzi sana si mbaya baharia akichukua mazima"...au waliniingiza chaka
Uliongopewa na mtoro mwenzio. Siku nyingine jitahidi uhudhurie vikao mpuuzi wewe!

Wenzio tulikubaliana, kuoa single maza ni kama kujenga nyumba Ukweni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…