Wadau nimtafune?!

Wadau nimtafune?!

inaelekea humtaki ndo maana unaomba ushauri ungekuwa unamtaka ungesha tafuna zamani
 
hapo kaka nitakuwa najikomesha mimi. Anyway ushauri wako na akili zangu nikichanganya nitapata kitu. Thanx
kama unadhani unajikomoa
nitupie namba yake kwenye PM nikachakachue msumbufu
 
nitaomba nitumie Account yako kdg mpaka hapo nitakaposajili yangu.

Karibu Beauty,Usijali mi na wewe bidada hakuna hiyana!tumia tu mama,ila iwe siri yako!
 
Tengeneza CV man kwani inaelekea wamehadithiana!!usichelewe wanaokushauri ukapime ngoma waulize wao wamepima??:cheer2:😛eace::A S crown-2:
 
Sokomoko,

Inaonekana dhamira yako haikubaliani na tamaa inayowaka mwilini mwako. Hali kama hiyo mara nyingi hupelekea majuto makubwa sana hasa vitu vikienda vibaya kama vile ukipata gonjwa la zinaa. Ni vema ukafanya kitu kwa dhamira na si tamaa ya muda mfupi. Ushauri wangu ni kuwa ni bora usimtafune huyo dada maana faida za kufanya hivyo ni chache kuliko hasara hasa ukizingatia huna mapenzi nae tena. Alternatively, kaa chini tafakari na usikiliza nafsi yako inakwambia nini nauhakika itakukataza tu!

Mkuu deodat habari zakuambukizwa??inamaana wewe hutumiikinga??Nimekusoma tuendelee na mada!!:A S 13:
 
uamuzi wangu ni kutomtafuna na ili nifanikiwe hilo nimejipanga vilivyo usikhofu na amini huwa na enjoy na mtu ninaemfeel.

safi kama umeamua kutomtafuna.
sasa mbona unatuuliza wkt tayari unajua uamuzi wako ni upi????
 
kamua baba kama alibana sasa ni wakati wako,na ikiwezekana piga cha-uani inaweza kuleta heshima kidogo,coz inaonyesha hana mapenzi ya dhati kwako
 
Azniye na mwanamke hana akili kabisa anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
Binafsi ushirikiano wangu ktk hili ungekuwa mzuri zaidi iwapo ungeomba ushauri kabla tendo ambalo limemfanya huyo dada akusifie halijafanyika. Hii ni sawa na kusema kwamba UMEUA HALAFU UNATAFUTA USHAURI, utapata ushauri lakini marehemu hatafufuka. NENDA NA UZIMA WAKO, WALA USITHUBUTU KUTENDA TENA DHAMBI.
 
Achana na dhambi!!!

kumbuka msemo usemao <<<What Goes Around Come Around>>>
 
kama ushasulubu dada mtu kwa ushetwani wako... wamringia nini aloomba masaji... ?!!
 
Kiufupi fuata fikra zako! Bt waungwana naona wanakusihi ukapime pia ni ushauri mzuri sana but "Nikuulize ULIMENYA au ULIKULA na GANDA LAKE? if is that go ahead ANGAZAA!!
 
Back
Top Bottom