Wadau ninampenda sana Zumaridi

Wadau ninampenda sana Zumaridi

Itakuwa huko mbinguni kusha malizika makazi wote tuliobaki mtaniona mimi kaka yake shetani na viwanja vya kutosha motoni
 
Atarudi na upepo huyu mama tungoje nyomi ya jumapili mpaka madirishani
 
Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I [emoji177] you Zumaridi
We unatafuta laana eeh? Ulisikia wapi mungu akiolewa!! Hahahaha......
 
Back
Top Bottom